Proverbs 5:8-10

8 aNjia zenu ziwe mbali naye,
msiende karibu na mlango wa nyumba yake,
9usije ukatoa nguvu zako nzuri kwa wengine
na miaka yako kwa aliye mkatili,
10 bwageni wasije wakasherehekea utajiri wako
na jitihada yako ikatajirisha
nyumba ya mwanaume mwingine.
Copyright information for SwhNEN